Kwanza kama ilivyoada nimushukuru mwenyezi MUNGU kwa kuniweka hai nikiwa mzima wa afya njema.wiki iliyopita nilieleza jinsi muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulibyotesa sana serikari za muungano na ile ya maoinduzi Zanzibar.Nikasema,kamati na time nyingi ziliundwa na fedha za walipa kodi,nyingi zikatumika lakini mgogiro uko palepale.(maneno-ya-Rais)

Kuna watu walishauri Raid avunje Bunge hilo LA katiba,lakini mwanasheria mkuu wa serikari mh.Frederick Werema akasema Rais hawezi kulivunja kwasababu sheria haimruhusu kufanya hivyo kwa maneno mengine HANA MENO YA KUMALIZA TATIZO
Lakini sasa imedhihirika kuwa hatimaye Bunge maalum la katiba limebaki mikononi mwa Rais jakaya Kikwete

posted from Bloggeroid
No comments:
Post a Comment