Saturday, 27 September 2014

Meneja wa Manchester united Louis van Gaal akili kwamba wachezaji wa timu hiyo wanajitahidi kuelewa mbinu zake


Mkufunzi huyo anayesimamia klabu hiyo ikiwa na matokeo mabaya tangy msimu huu wa ligi ya uingeleza uanze,huku ikiwa imejioatia point tano pekee kwa mechi tano ilizocheza.
Wikendi hii timu hiyo inatarajia kupambana vikari na timu ya west ham "Tunawapatia wachezaji mafunzo mengi" van gaaal alinukuliwa akisema itafika wakati katika msimu huu ambapo mafunzo tunayotoa yatakuwa si mengi kama leo.
Kocha huyo aliyewahi kuifunza Ajax,Barselona na Bayern Munich ana iman kwamba huenda aliwasukuma sana na kwa haraka wachezaji hao kujifunza mbinu Mpya.
Mshirikishe na mwenzako uwezavyo

posted from Bloggeroid

No comments:

Post a Comment