Ki
http:uhondospecialblog.blogspot.com=uhondospecialblog...
Kuna mambo mengi sana ya kukufanya ukutie mifano ni mingo sana kulingana na maisha yako wewe binafsi japo kuna mengine unaweza kuyapuuzia halafu mwisho wa siku yakakughalimu
Una mpenzi wako mnapendana sana ila ukamwacha kisa umaskini wake au shida zake bila kufikiria utu wake ujue kabisa IPO siku uyakuja kulipa kwa ubaya huo na siku hiyo ndo siku yako ya kukumbuka mapito yaliyo sambaa mithiri ya dengu zilizo mwagika cha kufanya omba msamaha halafu tembea zako maana hukujua umuhimu wake
Siku zote msaliti lazima asalitiwe

posted from Bloggeroid
No comments:
Post a Comment