Msanii maarufu wa bongo movie Elizabeth Michal LULU apangishwa jumba la kifahari maeneo ya mbezi beach na bilionea matata kutoka Arusha(jina limehifadhiwa).Bilionea huyo ameahidi kumlea diva huyo wa star na muigizaji mwenye nyota ya kupendwa Lulu.
mara nyingi kuringana na maelezo ya mwandishi wa gazeti hili alimshuhudia akitoka na kuingia ktkbjumba hill lenge fensi kubwa pana ndani ya fensi limepambwa kwa garden safi na maua ya kuvutia na mlangoni kajaa mbabe kila anayeingia lazima kujieleza.Bilionea huyo kamwahidi lulu kuwafunika Wema sepetu na kajara masanja kwa mkwanja kwa madai kuwa ameamua kumtunza kwa kila halo

★★★TOA MAONI★★★


★★★TOA MAONI★★★
posted from Bloggeroid
No comments:
Post a Comment