mwenyekiti wa chadema mbowe akiwasili makao makuu ya jeshi LA polisi akiwa na wafuasi wake
naibu katibu mkuu wa chama John mnyika akizungumza na wandishi wa habari waliofika kituoni hapo
makamu mwenyekiti wa chadema frof.Abdallah safari na wakiri wa chama,wakiri wa mbele marando wakiwasili makao makuu ya jeshi la polisi
baadhi ya wanachama na wafuasi wa chadema wakishangilia mwenyekiti kufika hapo
kamishna wa police Cp Paul chagonja akiwataka wanachama na wafuasi kuondoka akidai hawana cha kufanya kwenye mahojiano hayo
baadhi ya askari police wakiangalia usalamaTOA MAONI YAKO
posted from Bloggeroid
No comments:
Post a Comment