http://uhondospecialblog.blogspot.com no kawaida yetu kukupasha habari na matukio>wasanii waguswa sana na ajali hii ya mabasi
wasanii Hawa walikusudia kifanya shoo lakini wakashindwa kufanya shoo hiyo kitokana na ajali oliyotokea
[image_1kweli tumeskitishwa sana na tusingeweza kufanya shoo hii wakati ndugu zetu wamepata ajali tena ajali mbaya kama hii ya basi
baadhi yao walitoa mawazo mbalimbali wakati wakoongea na waandishi wa habari nakusema ni vyema wakawajulie hali majeruhi na wakaafikiana na kufanya hivo

waliweza kuchanga kiasi cha fedha kwa majeruhi kwa moyo mmja

[image_1kweli tumeskitishwa sana na tusingeweza kufanya shoo hii wakati ndugu zetu wamepata ajali tena ajali mbaya kama hii ya basi

posted from Bloggeroid
No comments:
Post a Comment