Friday 29 August 2014

Kisa long number mwanaume kaliwa uloda

Mtaa mmoja katika kata ya butimba Ali maarufu kama mtaaa wa mkuyuni mkoani mwanza wilaya ya nyamagana kuna kijana mmoja mwenye familia ya watu watatu yaani baba ambaye ndo yeye tunamwita Mr CHIA ubini hatuwezi kutaja kwa ajiri ya usalama wa familia na ndugu.Basi siku moja alipigiwa simu akiwa kitaa na Rafiki zake kucheki no namba ngeni(long number) ikabidi apokee kusikia sauti ni ya mwanaume ikabidi aulize™ naongea na nani? Lijamaa likasema unaongea na pita Niko Tanga Unashida gani? basi likajitetea na kujinadi si hatukufatilia Mara kwa Mara wanawasiliana anatumiwa HELA Mara simu vyote kaka chia an a tumia Siku moja alituambia Rafiki take huyo wa tanga anakuja ili tu wafahamiane basi lijamaaa lilielekezwa mtaa wakiwasiliana tokea nyegezi stendi liliposhukia.akalielekeza lichukue daradara lishukie chakechake wakutanie hapopoa poa jamaa kashuka kuangalia chakechake kuna guesthouse akalipia chumba,akamtwangia simu swahiba Swahiba naye hakuwa mbali alikuwa kwa pembeni na marafiki zake,akawaaga anakwenda kwa mgeni wake kule alipoelekezwa √√√√√√√√wakakutana gesti Baadaye marafiki zake wakashikwa na mshangaooo !!!¡!! Ni baada ya kimshuhudia mwenzao akitoka nje ya baa hilo maalufu la chakechake Skilia kama mtoto kumuuliza kilichomsibu kimyaa akiogopa hadi kuongea akiwa anaendelea kuangua kilio watu wakajaa Rafiki zake wakakimbia guest wakalikuta jamaa linavaa siliwali wakalovagaaa kwa fujo na kulipeleka nj3 kwenye umati likàjitetea hivi++++++Huyu ni mpenzi wangu nilikuwa nikimtumia hata HELA na shida zake nyingi nikazimaliza na LEO ndo siku yetu mi na yeye kula Raha au muulize Unataka kujua mwanaume alijibuje na ikaishaje+++++++++++ TOA MAONI YAKO posted from Bloggeroid http://uhondospecialblog.blogspot.com/2014/08/kisa-long-numbermwanaume-kaliwa-uloda.html

Kisa Long number(mwanaume kaliwa uloda)

Mtaa mmoja katika kata ya butimba Ali maarufu kama mtaaa wa mkuyuni mkoani mwanza wilaya ya nyamagana kuna kijana mmoja mwenye familia ya watu watatu yaani baba ambaye ndo yeye tunamwita Mr CHIA ubini hatuwezi kutaja kwa ajiri ya usalama wa familia na ndugu.Basi siku moja alipigiwa simu akiwa kitaa na Rafiki zake kucheki no namba ngeni(long number) ikabidi apokee kusikia sauti ni ya mwanaume ikabidi aulize™ naongea na nani? Lijamaa likasema unaongea na pita Niko Tanga
Unashida gani? basi likajitetea na kujinadi si hatukufatilia
Mara kwa Mara wanawasiliana anatumiwa HELA Mara simu vyote kaka chia an a tumia
Siku moja alituambia Rafiki take huyo wa tanga anakuja ili tu wafahamiane basi lijamaaa lilielekezwa mtaa wakiwasiliana tokea nyegezi stendi liliposhukia.akalielekeza lichukue daradara lishukie chakechake wakutanie hapopoa poa jamaa kashuka kuangalia chakechake kuna guesthouse akalipia chumba,akamtwangia simu swahiba
Swahiba naye hakuwa mbali alikuwa kwa pembeni na marafiki zake,akawaaga anakwenda kwa mgeni wake kule alipoelekezwa √√√√√√√√wakakutana gesti
Baadaye marafiki zake wakashikwa na mshangaooo !!!¡!! Ni baada ya kimshuhudia mwenzao akitoka nje ya baa hilo maalufu la chakechake Skilia kama mtoto kumuuliza kilichomsibu kimyaa akiogopa hadi kuongea akiwa anaendelea kuangua kilio watu wakajaa
Rafiki zake wakakimbia guest wakalikuta jamaa linavaa siliwali wakalovagaaa kwa fujo na kulipeleka nj3 kwenye umati likàjitetea hivi++++++Huyu ni mpenzi wangu nilikuwa nikimtumia hata HELA na shida zake nyingi nikazimaliza na LEO ndo siku yetu mi na yeye kula Raha au muulize



Unataka kujua mwanaume alijibuje na ikaishaje+++++++++++

TOA MAONI YAKO

posted from Bloggeroid

Tuesday 26 August 2014

Unatoaje taarifa?

Kipi kina kukatisha tamaa? Unaweza taja vingi ila kuna matikio ya kazini kwako na maneno ya baadhi ya watu tens wakaribu yanakatisha tamaa mfano  nauza duka halafu Mteja wangu wa karibu anakuja nakusema +++++mbona duka limeisha hivi au unahamisha? Wakati huna mpango wa kuhama inaumiza kisaikologia
Unafanya kibarua tena kazi ngumu kama kuponda zegge halafu mwingine anakuja na kukwambia +++++yule unaye mfanyia kazi halipagi HELA kabisa ndo maana wafanya kazi wanamkimbia duuuuuu inaumiza.mwingine anakuja kukwambia ile nyumba uliyonunua Jana imeungua yote haya ni maumivu
Chakujifunza ni kwamba unavyopata habari jiulize Mara mbili mbili utaiwasilishaje? Au utamwambiaje mlengwa bila madhara? utakuta MTU mzima anakuita tenà mbele za watu kwa sautoiiiii ©©©©©©©©©©©©©©©©flaniiiiiii wahi nyumbani mama ako kafa©©©©©©
Jifunzeni jinsi ya kutoa taarifa kwa mlengwa.

Unatoaje taarifa?

Kipi kina kukatisha tamaa? Unaweza taja vingi ila kuna matikio ya kazini kwako na maneno ya baadhi ya watu tens wakaribu yanakatisha tamaa mfano  nauza duka halafu Mteja wangu wa karibu anakuja nakusema +++++mbona duka limeisha hivi au unahamisha? Wakati huna mpango wa kuhama inaumiza kisaikologia
Unafanya kibarua tena kazi ngumu kama kuponda zegge halafu mwingine anakuja na kukwambia +++++yule unaye mfanyia kazi halipagi HELA kabisa ndo maana wafanya kazi wanamkimbia duuuuuu inaumiza.mwingine anakuja kukwambia ile nyumba uliyonunua Jana imeungua yote haya ni maumivu
Chakujifunza ni kwamba unavyopata habari jiulize Mara mbili mbili utaiwasilishaje? Au utamwambiaje mlengwa bila madhara? utakuta MTU mzima anakuita tenà mbele za watu kwa sautoiiiii ©©©©©©©©©©©©©©©©flaniiiiiii wahi nyumbani mama ako kafa©©©©©©
Jifunzeni jinsi ya kutoa taarifa kwa mlengwa.

Sunday 24 August 2014

Nampenda sana mpenzi wangu agnetha hata kama yeye hangup end I daima nitamkumbyka [siwezi kumwacha@] nampenda sana

Wednesday 20 August 2014

BORA USHIRIKIANO KULIKO URAFIKI WA KINAFIKI

Check out @UhondoBlog's Tweet: https://twitter.com/UhondoBlog/status/502193403728519168
hii ni kwa sababu marafiki wa siku hizi wote wamekuwa waongo,matapeli(wanafiki) hovyo kupelekea watu wengi kutoamini mtu yeyote kwa kizingizio cha urafiki.uhondo special blog tumefanya uchambuzi wa swala hili tukayapata majibu tukagundua kuwa:-

     rafiki yako awe wa kazini kwako
ilionekana kuwa ukiwa na rafiki wa kazini kwako ni bora zaidi kwa vile mna jukumu moja ila usimluhusu ajue ya ndani kwakuwa hao ndio wabaya wako
usimluhusu kuzoeana na familia yako ikiwa ni pamoja na mkeo,watoto,wazazi wako au hata ndugu wengine.Mtatuwia radhi kwa hayo kwani point tunazo zakutosha kuhusu mtu na rafiki hatuwezi kuongea wazi kilq kitu kuhofia kuvunja urqfiki wenu hata kama kinachoongelewa ni cha kweli maishani ushauli ni kwamba uwe makini marafiki zako 
by   uhondo special blog

Sunday 17 August 2014

SIMU ZA MCHINA NOMA

kwenye maisha huwa tunabahatika kujua mengi wakati tukiwa humu
yametokea maajabu na vituko na vitendo vya kushangaza ila vyote tumesahau pia vilitokea vifaa kama simu na computer vikitustaajabisha kweli kweli vile mtu na mtu wanawasiliana bila kuonana lakini
tulishazoeea
Lakini hii ya mchina ya sasa mimi bado inanichanganya
IMEWEZEKANAJE MTU kujipiga picha simu ikiwa mfukoni na uonekane vizuri au ndo ile imani yakwamba simu ni uchawi?
uhondo_special_blog tumekosa majibu mwenye ufafanuzi aelezee kwa faida ya wote
sisi tumezinasa habari hizi kwa mchina flani hivi mtaani ila full-detail hatukupata
             TOA MAONI YAKO

Wednesday 13 August 2014

KUKUPENDA NAKUPENDA TATIZO MAHALI

mapenzi yameonekana kuvutiwa na watu wengi tokea kuumbwa kwa mwanadamu
pamoja na hayo mapenzi yamekuwa na changamoto rukuki ambazo hupepekea wapendanao kuachana na kutengana.
Zipo sababu mbalbali ambazo kwa asilimia kubwa zinasababisha mapenzi kiporomoka ambazo ni:
-usaliti
-mahali
-magonjwa ya zinaa
-umasikini
Hayo na mengine mengi husababisha mahusiano ya wapendanao kuingiliwa na vikwazo
mahali nayo ndo haswa inasababisha vijana wengi waolewe ndoa zisizo rasmi(za usiku/kutoroshana) kutokana na bei za posa kuwa kubwa mfano wa mtu anaye nunua kiwanja chenye nyumba moja kuuuubwa ya kifahari hivyo kupelekea wapendanao kukwepa gharama na kufanya maamuzi mengine
vingine ni wapenzi kusalitiana kwa visingizio vya umaskini na mengine mengi.
hivyo basi kwenu wapendanao msiruhisu mtu yeyote kuwaharibia ndoto zenu kwa masilahi yake binafsi.PENDANENI MUNGU NAYE ATAWABARIKI

Sunday 10 August 2014

new arsenal captain

:Arteta new Arsenal captain, says Wenger http://www.goal.com/en/news/9/england/2014/08/10/5024869/arteta-new-arsenal-captain-says-wenger