Saturday 27 September 2014

Meneja wa Manchester united Louis van Gaal akili kwamba wachezaji wa timu hiyo wanajitahidi kuelewa mbinu zake


Mkufunzi huyo anayesimamia klabu hiyo ikiwa na matokeo mabaya tangy msimu huu wa ligi ya uingeleza uanze,huku ikiwa imejioatia point tano pekee kwa mechi tano ilizocheza.
Wikendi hii timu hiyo inatarajia kupambana vikari na timu ya west ham "Tunawapatia wachezaji mafunzo mengi" van gaaal alinukuliwa akisema itafika wakati katika msimu huu ambapo mafunzo tunayotoa yatakuwa si mengi kama leo.
Kocha huyo aliyewahi kuifunza Ajax,Barselona na Bayern Munich ana iman kwamba huenda aliwasukuma sana na kwa haraka wachezaji hao kujifunza mbinu Mpya.
Mshirikishe na mwenzako uwezavyo

posted from Bloggeroid

Friday 26 September 2014

BILIONEA AMPANGISHA LULU JUMBA LA KIFAHARI

Msanii maarufu wa bongo movie Elizabeth Michal LULU apangishwa jumba la kifahari maeneo ya mbezi beach na bilionea matata kutoka Arusha(jina limehifadhiwa).Bilionea huyo ameahidi kumlea diva huyo wa star na muigizaji mwenye nyota ya kupendwa Lulu.mara nyingi kuringana na maelezo ya mwandishi wa gazeti hili alimshuhudia akitoka na kuingia ktkbjumba hill lenge fensi kubwa pana ndani ya fensi limepambwa kwa garden safi na maua ya kuvutia na mlangoni kajaa mbabe kila anayeingia lazima kujieleza.Bilionea huyo kamwahidi lulu kuwafunika Wema sepetu na kajara masanja kwa mkwanja kwa madai kuwa ameamua kumtunza kwa kila halo



★★★TOA MAONI★★★

posted from Bloggeroid

MAGAZETI YA LEO IJUMAA SEPTEMBER 26/2014



















Like our page in facebook

posted from Bloggeroid

Wednesday 24 September 2014

FACEBOOK SASA KUANZIA MWEZI 11 ITAKUCHAJI DOLA 2.99 KILA MWEZI

at a press conference this morning Facebook rolled out their new monthly service plan.Beginning November 1 of this year,the social media giant will start charging member $2.99/mo to use service which users currently enjoy free "After thinking long and hard about this decision at the end of day we were forced to add this monthly fee Facebook founder and CEO mark
Zuckerberg told reporters if we don't do something could face an unrecoverable financial burden and become obsolete

PUBLISH YOUR COMMENTS

posted from Bloggeroid

Thursday 18 September 2014

MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE AFIKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI KWA MAHOJIANO

mwenyekiti wa chadema mbowe akiwasili makao makuu ya jeshi LA polisi akiwa na wafuasi wake
naibu katibu mkuu wa chama John mnyika akizungumza na wandishi wa habari waliofika kituoni hapo
makamu mwenyekiti wa chadema frof.Abdallah safari na wakiri wa chama,wakiri wa mbele marando wakiwasili makao makuu ya jeshi la polisi
baadhi ya wanachama na wafuasi wa chadema wakishangilia mwenyekiti kufika hapo
kamishna wa police Cp Paul chagonja akiwataka wanachama na wafuasi kuondoka akidai hawana cha kufanya kwenye mahojiano hayo
baadhi ya askari police wakiangalia usalama

TOA MAONI YAKO

posted from Bloggeroid