Friday, 29 August 2014

Kisa Long number(mwanaume kaliwa uloda)

Mtaa mmoja katika kata ya butimba Ali maarufu kama mtaaa wa mkuyuni mkoani mwanza wilaya ya nyamagana kuna kijana mmoja mwenye familia ya watu watatu yaani baba ambaye ndo yeye tunamwita Mr CHIA ubini hatuwezi kutaja kwa ajiri ya usalama wa familia na ndugu.Basi siku moja alipigiwa simu akiwa kitaa na Rafiki zake kucheki no namba ngeni(long number) ikabidi apokee kusikia sauti ni ya mwanaume ikabidi aulize™ naongea na nani? Lijamaa likasema unaongea na pita Niko Tanga
Unashida gani? basi likajitetea na kujinadi si hatukufatilia
Mara kwa Mara wanawasiliana anatumiwa HELA Mara simu vyote kaka chia an a tumia
Siku moja alituambia Rafiki take huyo wa tanga anakuja ili tu wafahamiane basi lijamaaa lilielekezwa mtaa wakiwasiliana tokea nyegezi stendi liliposhukia.akalielekeza lichukue daradara lishukie chakechake wakutanie hapopoa poa jamaa kashuka kuangalia chakechake kuna guesthouse akalipia chumba,akamtwangia simu swahiba
Swahiba naye hakuwa mbali alikuwa kwa pembeni na marafiki zake,akawaaga anakwenda kwa mgeni wake kule alipoelekezwa √√√√√√√√wakakutana gesti
Baadaye marafiki zake wakashikwa na mshangaooo !!!¡!! Ni baada ya kimshuhudia mwenzao akitoka nje ya baa hilo maalufu la chakechake Skilia kama mtoto kumuuliza kilichomsibu kimyaa akiogopa hadi kuongea akiwa anaendelea kuangua kilio watu wakajaa
Rafiki zake wakakimbia guest wakalikuta jamaa linavaa siliwali wakalovagaaa kwa fujo na kulipeleka nj3 kwenye umati likàjitetea hivi++++++Huyu ni mpenzi wangu nilikuwa nikimtumia hata HELA na shida zake nyingi nikazimaliza na LEO ndo siku yetu mi na yeye kula Raha au muulize



Unataka kujua mwanaume alijibuje na ikaishaje+++++++++++

TOA MAONI YAKO

posted from Bloggeroid

No comments:

Post a Comment