Wednesday, 13 August 2014

KUKUPENDA NAKUPENDA TATIZO MAHALI

mapenzi yameonekana kuvutiwa na watu wengi tokea kuumbwa kwa mwanadamu
pamoja na hayo mapenzi yamekuwa na changamoto rukuki ambazo hupepekea wapendanao kuachana na kutengana.
Zipo sababu mbalbali ambazo kwa asilimia kubwa zinasababisha mapenzi kiporomoka ambazo ni:
-usaliti
-mahali
-magonjwa ya zinaa
-umasikini
Hayo na mengine mengi husababisha mahusiano ya wapendanao kuingiliwa na vikwazo
mahali nayo ndo haswa inasababisha vijana wengi waolewe ndoa zisizo rasmi(za usiku/kutoroshana) kutokana na bei za posa kuwa kubwa mfano wa mtu anaye nunua kiwanja chenye nyumba moja kuuuubwa ya kifahari hivyo kupelekea wapendanao kukwepa gharama na kufanya maamuzi mengine
vingine ni wapenzi kusalitiana kwa visingizio vya umaskini na mengine mengi.
hivyo basi kwenu wapendanao msiruhisu mtu yeyote kuwaharibia ndoto zenu kwa masilahi yake binafsi.PENDANENI MUNGU NAYE ATAWABARIKI

No comments:

Post a Comment