Tuesday, 26 August 2014

Unatoaje taarifa?

Kipi kina kukatisha tamaa? Unaweza taja vingi ila kuna matikio ya kazini kwako na maneno ya baadhi ya watu tens wakaribu yanakatisha tamaa mfano  nauza duka halafu Mteja wangu wa karibu anakuja nakusema +++++mbona duka limeisha hivi au unahamisha? Wakati huna mpango wa kuhama inaumiza kisaikologia
Unafanya kibarua tena kazi ngumu kama kuponda zegge halafu mwingine anakuja na kukwambia +++++yule unaye mfanyia kazi halipagi HELA kabisa ndo maana wafanya kazi wanamkimbia duuuuuu inaumiza.mwingine anakuja kukwambia ile nyumba uliyonunua Jana imeungua yote haya ni maumivu
Chakujifunza ni kwamba unavyopata habari jiulize Mara mbili mbili utaiwasilishaje? Au utamwambiaje mlengwa bila madhara? utakuta MTU mzima anakuita tenà mbele za watu kwa sautoiiiii ©©©©©©©©©©©©©©©©flaniiiiiii wahi nyumbani mama ako kafa©©©©©©
Jifunzeni jinsi ya kutoa taarifa kwa mlengwa.

No comments:

Post a Comment