Sunday, 17 August 2014

SIMU ZA MCHINA NOMA

kwenye maisha huwa tunabahatika kujua mengi wakati tukiwa humu
yametokea maajabu na vituko na vitendo vya kushangaza ila vyote tumesahau pia vilitokea vifaa kama simu na computer vikitustaajabisha kweli kweli vile mtu na mtu wanawasiliana bila kuonana lakini
tulishazoeea
Lakini hii ya mchina ya sasa mimi bado inanichanganya
IMEWEZEKANAJE MTU kujipiga picha simu ikiwa mfukoni na uonekane vizuri au ndo ile imani yakwamba simu ni uchawi?
uhondo_special_blog tumekosa majibu mwenye ufafanuzi aelezee kwa faida ya wote
sisi tumezinasa habari hizi kwa mchina flani hivi mtaani ila full-detail hatukupata
             TOA MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment