Wednesday, 20 August 2014

BORA USHIRIKIANO KULIKO URAFIKI WA KINAFIKI

Check out @UhondoBlog's Tweet: https://twitter.com/UhondoBlog/status/502193403728519168
hii ni kwa sababu marafiki wa siku hizi wote wamekuwa waongo,matapeli(wanafiki) hovyo kupelekea watu wengi kutoamini mtu yeyote kwa kizingizio cha urafiki.uhondo special blog tumefanya uchambuzi wa swala hili tukayapata majibu tukagundua kuwa:-

     rafiki yako awe wa kazini kwako
ilionekana kuwa ukiwa na rafiki wa kazini kwako ni bora zaidi kwa vile mna jukumu moja ila usimluhusu ajue ya ndani kwakuwa hao ndio wabaya wako
usimluhusu kuzoeana na familia yako ikiwa ni pamoja na mkeo,watoto,wazazi wako au hata ndugu wengine.Mtatuwia radhi kwa hayo kwani point tunazo zakutosha kuhusu mtu na rafiki hatuwezi kuongea wazi kilq kitu kuhofia kuvunja urqfiki wenu hata kama kinachoongelewa ni cha kweli maishani ushauli ni kwamba uwe makini marafiki zako 
by   uhondo special blog

No comments:

Post a Comment