Friday 31 October 2014

ISRAELI YACHANGANYIKIWA BAADA YA SWEEDENI KUITAMBUA PALESTINA

Israel yachanyikiwa baada ya Sweden kuitambua Palestina

Utawala haramu wa Israel umemwita nyumbani balozi wake kutoka Sweden baada ya serikali ya nchi hiyo kuitambua rasmi nchi ya Palestina.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa kuitwa balozi wa utawala huo kutoka Sweden kunaonyesha kuchukizwa Tel Aviv kutokana na hatua hiyo ya serikali ya Stockholm kuhusu Palestina. Amesema kuwa, balozi huyo nchini Sweden, Isaac Bachman, atabakia nyumbani kwa muda usiojulikana.
Hapo jana Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden, Margot WallstrΓΆm alitangaza kuwa serikali ya Stockholm imeitambua rasmi nchi ya Palestina. Bi Margot alisisitiza kwamba, serikali ya Sweden inaamini kuwa, vigezo vya lazima vya sheria za kimataifa vya kuitambua rasmi Palestina kama dola ambavyo ni ardhi hata kama hakuna mipaka maalumu, watu na serikali vimetimia kwa Palestina.
Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, Fauzi al-Barhum sambamba na kukaribisha hatua hiyo, amewataka viongozi wa nchi nyingine za Ulaya kuwawekea mashinikizo watawala wa Israel.

http://uhondospecialblog.blogspot.com/2014/10/31-israel-yachanyikiwa-baada-ya-sweden-kuitambua-palestina

RAIS WA BUKINA FASO ANG'OLEWA





Rais Blaise Compaore ajiuzulu


Jenerali, Honore Traore, mkuu wa majeshi ya Burkina Faso akitangaza kuchukua madaraka ya nchi Oct 31, 2014


Mkuu wa majeshi ya Burkina Faso Jenerali Honore Traore, (kati kati),akizungumza kwenyemkutano na waandishi habari kutangaza kwamba anachukua madaraka ya nchi akiwa katika makao makuu ya jeshi mjini Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso, Oct. 31, 2014.


Waburkinabe wanasherekea tangazo la kuondoka madarakani kwa Rais Blaise Compaore baada ya kukabiliwa na upinzani mkali wa wananchi, Oct. 31, 2014.


Wapinzani wa serikali wamekusanyika kwenye Uwanja wa Taifa mjini Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso, ili kuhakikisha na kusherekea kuondoka madarakani kwa Compaore Oct. 31, 2014.


Watu wapora nyumba ya Francois Compaore, kaka yake mdogo rais wa zamani Blaise Compaore, mjini Ouagadougou, Burkina Faso, Oct. 31, 2014.


Wapinzani wa serikali wakiimba kwa furaha mbele ya makao makuu ya jeshi mjini Ouagadougou, Burkina Faso, Oct. 31, 2014.


watt wanasherekea kuondoka kea kiongozi wa muds mrefu wa Burkina Faso Rais Blaise Compaore mjini Ouagadougou, Burkina Faso, Oct. 31, 2014.


Mkuu wa majashi ya Burkina Faso Jenerali Honore Traore, (kati kati), akizungumza na maafisa wenzake kabla ya mkutano na waandishi habai kutangaza anachukua madaraka katika mii mkuu wa Ouagadougou, Burkina Faso, Oct. 31, 2014.


Picha ya zamani ya Rais Blaise Compaore aliyetangaza Ijuma Oktoba 31, 2014, kwamba anaacha madaraka na hivyo kufikisha kikomo miaka 27 ya utawala wake.

Mkuu wa majeshi amechukua madaraka ya kuiongoza Burkina Faso baada aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Blaise Compaore kujiuzulu.

Jenerali Honore Traore aliwaambia wana habari mjini Ouagadougou mapema leo kwamba yeye ndiye mkuu wa nchi hiyo ya Afrika Magharibi kwa sasa.

Generali huyo aliya-anza madaraka hayo jana, pale alipotangaza mipango ya serikali ya mpito na kuamrisha watu kukaa majumbani baada ya ghasia za waandamanaji kwenye makao makuu ya serikali dhidi ya Bwana Compaore.

Vyombo vya habari vya Burkina Faso vilitangaza taarifa ambayo Bwana Compaore alitangaza siku 90 za mpito kuelekea uchaguzi. Wakoloni wa zamani wa nchi hiyo Ufaransa, kwa haraka wamesema wamepokea kujuizulu kwake.

Televisheni ya “Burkina 24” imetangaza kwamba Rais huyo wa zamani aliondoka kutoka ikuli chini ya ulinzi mkubwa. Bwana Compaore ameoiongoza Burkina Faso kwa kipindi cha miaka 27 baada ya kupinduliwa na kuuliwa kiongozi mpenda mageuzi na maendeleo Thomas Sankara.

Like page yetu Facebook (Uhondo_tz)

MAGAZETI YA UDAKU




Wednesday 22 October 2014

MAYA WA SHULE SEHEMU YA NANE


""Mayyah wa shule"" sehemu ya 8
Ilipoishia

P anampigia simu Dr Mackene
Ni saa sita Usiku Mayyah anafikishwa hospital huku Dr Mackene akiahidi kumshughulikia Mayyah kadri ya uwezo wake..Patrick anampigia simu Sara rafiki wa Mayyah Kuwa rafiki yake amelazwa..
Patrick anazunguka korido huku na kule akiwa na mawazo kibao kipi kimemkuta mayyah...nitamwambiaje mzazi wake..... nitakiambia nini Chuo....... Sossy alimshika bega rafiki yake na kumwambia asijali......


Mr Bockila ni head of department katika kozi anayochukua Mayyah ni mwanaume mrefu aliyeenda hewani na hapendi masihara katika kazi....amekuwa akipata malalamishi mengi kuhusu walimu wa department yake wanavyopokea rushwa kwa wanafunzi na kuvujisha mitihani.Leo yupo hapa ofisini kwake hasira zimempanda kwa kashfa mbaya alizozisikia....anachukua simu yake ya mkononi na kupiga namba hizi 0653.......1234.....halooo Mr plzz come toy office..
🌰🌰🌰🌰ndani ya dakika 20 Mr okello alikuwa ofisini kwa boss wake.....Mr bockila alimwambia Mr okello Kuwa Kuna tetesi anasikia Kuwa department yake ndiyo inaongoza kwa kuvujisha mitihani na walimu kuuza mitihani kwa wanafunz pia Kuwa na mahusiano nao...ingawaje siwez sana ingilia swala la mahusiano kwakuwa hapa ni Chuo na watu wanajielewa Hivyo wanajua wanachokifanya ingawaje kwa hali ya kawaida inaharibu taaluma nzima ya Kuwa mwalimu bora....je Mr okelo ushasikia tetesi kama hizi kwakuwa ni wewe ndiye naekuamini hapa.....
Mr okelo alitikisa kichwa kwa masikitiko na kudai Kuwa yeye anaifanya kazi yake vizur na anafata maadili yote ya kazi Hivyo hafanyi vitu Hivyo......Mr bockila alimuangalia kwa umakini sana Mr okelo na kumpa jukumu la kutoa taarifa kwa walimu wengine Kuwa kutakuwa na kikao ijumaa Hiyo katika ofisi ya mkuu wa department

Dr mackene anatoka na file na muda huo p na Sossy wanasimama macho yakiwa yamewatoka.......Dr Mackene aliwafikia na kuwaangalia akamuuliza Patrick mmegombana na Mayyah? M Hapana Dr.....Patrick Mayyah amekunywa sumu na sijui lengo la yeye kufanya Hivyo Patrick pia tambua hii ni kesi........tunajaribu
kutoa sumu Patrick nendeni nyumbani kwani haturuhusu watu hapa..nitawasiliana na wewe

Asubuhi Patrick anamtumia Sara pesa kidogo na kumuomba awah hospital yeye atawah Chuo ana presentation..
Sara alifika hosptl na kumkuta shoga ake ana drip na amelala....alirud barabaran na kununua matunda na juice alivyofika alimkuta Dr Mackene anaongea na Mayyah lakini kwa ukali kidogo..Haya ni maisha yako Mayyah unawezaje kujaribu kujiua kama ulipishana na mwenzio ni jambo la kuongea naye ona sasa ungekufa? Au usingenikuta wakakupuuzia...Mayyah alianza kulia na kukumbuka tukio lote alikuwa hana jibu kwa Dr
..........Sara alimfata Mayyah na kumpa taarifa za Patrick Kuwa kwenye presentation walilipia na mchana. Aliruhusiwa.....waliingia cafe na kupata juice.Irene alimbembeleza sana Mayyah amwambie tatizo ni nini. Mayyah aliamua kumweleza kila kitu rafiki yakemayyah kwahiyo ulitaka kujiua kwa ajili ya kukwepa aibu kwa pat...we una akili Kweli yeye kakutesa Mara ngapi Mayyah Leo uje ujiue Kisa mwanaume..Irene aliongea mengi. Na kumfungua akili rafiki yake.walikodi tax na kuelekea home wakiwa wanakaribia kufika Patrick anampigia simu Sara na Sara anamwambia mkewe yupo OK na wapo nje.Patrick nae anafika muda huo na kumletea mpenz wake zawad wanatoka nje kukaa na Sara anamsaidia rafiki yake kupika na kufanya usafi akiwa jikoni Sossy anakuja na kumpa hi anamkonyeza na kuondoka.
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Nisamehe Mayyah wangu najua mimi ndo chanzo cha yote sitorudia kukutesa tena.Mayyah alikuwa analia ingawaje anajua nini kinamliza..alimlaani pat moyoni...

🍐🍌ni Usiku wanapata chakula na kumshukuru Sarah na wanaamua kumsindikiza Usiku huo
Walirud na kulala na ni kipindi hicho Patrick alikuwa yup katika mitihani ya mwisho
Ijumaa Hiyo Mayyah aliamua kwenda Dodoma kumsalimia mama yake alimpelekea madera na zawad kibao....pia alienda katika kabur la baba yake
Jumatatu Mayyah aliondoka

Ilikuwa jumatat asubuh mayyah akiwa stand akisubr basi..alipata shabiby luxury na kufika dar mida ya saa nane mchana.aliamua kumpigia simu patrck na kumtania kuwa ataenda next week patrck alimtania akamwambia no mke wangu wakat mi nakutaman hata leo mayyah alicheka na kukata simu..mida ya saa nane alifika Ubungo akaunga moja kwa moja hadi mliman city na kumtafutia mpenz wake zawadi..alipumzka mjini na jion alienda kwa patrck..aliingia ndan na kwenda garden aliamua kutoa st anne yake kweny bag na kuinywa..mida ya saa mbili alimuona patrck akitoka nje kufunga geti..mayyah alimpgia simu patrck wake na kumwambia good night patrck wangu nakupenda huku akimuangalia kwnye kioo cha dirisha... baada ya kuchangamka mayyah anaamua kuingia ndan kwakuwa ana funguo..hamkuti patrck ndan kwake hvyo anajua moja kwa moja yupo kwa sosy wanchek mvie..anagonga na hawasikii sababu ya music..anaamua kuusukuma mlango Aliganda kama barafu kwa alichokuwa anakiona machoz yalitoka bila kujua,simu Aliyobeba ilianguka ni mpenz wake ampendae kwa dhati ktoka moyon ameshkilia meza huku sosy akifanya nae mapenz kinyume na maumbile..mayah alihsi anaota kumuona mpenz wke akilalamika kama mwanaume..alitaka kuongea akashndwa akataka kuondoka akashndwa akabak kuhs kzunguzungu..akaita p p p attrick..giza likaja akadondoka ITAENDELEA

MAYA WA SHULE SEHEMU YA SABA


Mayyah wa shule"""
Sehemu ya 7
Ilipoishia
Mayyah akiwa ndani na Mr okello
πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯
No no no no I say no Patrick hukupaswa kumfanyia Hivyo Mayyah yule ni mpenzi wako na ni mwanamke mwenye hisia INA maana kipindi chote hicho hujawah mgusa mayyah you cant be serious patrick umekosea Sanaa.....just try hata Leo akirudi plz.......Sossy twiz alikuwa akimlalamikia rafiki yake Patrick......
πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯πŸ₯
No Sossy don't blame me wewe ndo sababu na unaelewa kwanini mimi siingiliani na Mayyah so nyamazaaaaa ....patrick aliongea Kuwa hasira....
I know OK just calm down but ushaur wangu ni huo Leo mfurahishe ili isiwe rahis kujua yaliyo chini ya kapeti.....waligonga cheers na kuendelea kupat vinywaji na baadae Patrick alienda chumbani kwa Sossy wakiwa wanamsubir Mayyah arudi..........

Oooooooooo sssssssss h h h maneno yalimtoka Mr okelo alipokuwa akiupapasa mwili wa mayyah mshipa wa aibu ulimtoka mwalimu huyu na kumwambia mayyah masikioni..........hutopata shida tena kuhusu maswala yako ya academic Mayyah mimi Nipo kwa ajili yako Mayyah alijaribu kujinasua kwa mwalimu huyu baada ya kusikia simu yake ikita akajua moja kwa moja ni Patrick anapiga simu lakini Mr okelo alimbebeba hadi chumbani na kumlaza kitandani alimtoa Nguo zoteee mpaka Mayyah alipobaki na 
Mwaaaa all lii mm u uu mimi sijawahiii no Mayyah kama Kweli nitakupa zawadi..mshawasha wa Mr okelo alimuingilia Mayyah na kuvunja chupa ambayo Mayyah alimuandalia patrick.....Mayyah analia kwa maumivu..Mayyah Siamini kwa ninachokiona usijali mimi nitakufundisha na utaenjoy hapa ni mwanzo tu acha kulia......alimpatia pain killer na kumuomba apumzike kama nusu SAA baadae atamsindikiza.....Mayyah sio mwanamwali tena.mayyah kalia lakini akaona bora tu kwakuwa p hakumthamini.


Mayyah hapokei simu au bado ana hasira...p anamweleza Sossy....sosy anamwambia no p mtumie SMS aipate lakini njooo tufanye yetu kabla hajaja.......taa ilizimwa na waliweka movie

mayyah anaamka na haamini kilichotokea anashuka kitandani anahisi maumivu ya mwili anamuona okello akiwa pembeni anatabasamu wanaagana na anamuahid kumfanyia mambo tena hadi azoee

Mayyah akiwa njiani anachukua simu yake anakuta missed call zaidi ya 15 pamoja na SMS anaamua kufungua SMS haraka haraka na ni sms hii iliyotaka kufanya Mayyah asirud nyumbani
........from hubby(p)
mayyah najua nimekutesa sana mpenz wangu lakini wewe ndo mwanamke uliyenipenda na kuwa mvumilivu kwangu Mayyah nakusubir nyumbani Leo ni siku ya kujua Joto la mwili wangu..Mayyah I need you tonight najua hiki ni kitendo ambacho kitarudisha heshima yangu kwako
Nakupenda

mayyah alishtuka mshtuko ambao haukuwa wa kawaida alisoma SMS mara 3 3...chozi lilimtoka Mayyah...Patrick I'm sorry Mayyah alilia kwa uchungu akiwa nje ya. Geti anajuta kwanini alienda kwa Mr okelo. roho Inamuuma sana anawaza leo p ananihitaji na anajua mimi bikra Leo nitamjibuje Mayyah aliamua kufuta machoz na kuingia ndani✔✔✔✔✔✔✔✔✔✔✔✔✔
Miguno ya mahaba Mayyah anaisikia chumbani kwa Sossy but anapuuzia na kuingia jikoni anachukua juice na kwenda chumbani. Anaoga na kupumzika huku tukio la mr okelo likiwa. Kichwani............anamtumia ujumbe Patrick ..hny Nipo room mbona sikuoni uko mbali? Naumwa sana kichwa........
Ok mpenz. Na kuja. Nipo nafanya zoez ...
Patrick anrud na kumkuta Mayyah amelala anaingia kuoga na anaporud anatoa zawadi zake alizomletea Mayyah....wakati anajifuta huku anaonja wine anamtania Mayyah
hny najua unanisikia amka mpenz Leo najua unaniringia Mayyah amka Basi nikupe zawad..............Patrick alivaa vest na boxer na kuingia kitandani alianza kumpapasa mayyah akaona bora amtoe shuka
Lahaulaaaaaaaaaaaa mapovu yalikuwa yakimtoka Mayyah mdomoni....



Sossssssyyy sosssy patrick aliita kwa nguvu na Sossy alikuja mbio
Haloooo halooooo Dr Mackene this is Patrick Kuna tatizo ni mayyyaaaaah
Mayyah ulikuwa anatupa shingo huku na kule
Itaendelea..........

MAYA WA SHULE SEHEMU YA SITA


""Mayyah wa shule""
Sehemu ya 6
Ilipoishia
Mayyah anaiangalia simu ya Patrick na kuichukua...........
Huku akiwa anatetemeka akaenda moja kwa moja katika kisanduku cha ujumbe wakati anakifungua aliona SMS nyingi ila zote zikiwa za mtu mmoja ile anafungua Patrick anaingia na kuichukua simu kwa nguvu akiwa na taulo na kijasho chembamba
Huku anahema...Mayyah mpenz mbona unashika simu yangu au huniamini mpenz wangu.......
Mayyah akasimama kwa hasira na kumnasa kibao Patrick.......Patrick kwanza umetoka wapi.....Mayyah unanipiga mimi..na nitaendelea kukupiga ulikuwa wapi? Mayyah hasira zilimpanda.......OK nilikuwa nje nafanya mazoez kwa uani.....OK Patrick sina story nyingi all I need ni wewe kuvaa haraka Nataka niondoke na wewe sasa hivi
......Mayyah kwani Kuna tatizo?
Mayyah alikaa kwenye kochi lililopo hapo chumbani na kuanza kulia Patrick alikuwa kaduwaa haelewi afanye nini....
........why ulinikubali sasa kama ulijua we ni mgonjwa p si bora ningebaki niwe na mwanaume mwingine Yaani siku zote hizo nalazimisha penzi unakataa kumbe una magonjwa yako why lakini.......hata mimi nilishangaa p mimi nilikueleza mimi bado bikra sijawah guswa na mwanaume na nilitegemea wewe ndo uwe mwanaume wangu wa kwanza kumbe ulikuwa unafurahia kiunafki I hate you Patrick Mayyah alisimama na kuondoka alipofika mlangoni p alimdaka Kiuno na kumgeuza na kumwambia"""
Mayyah mpenz mimi sikuelew Haya unayoyaongea maswala ya ukimwi nani kakueleza kwanini huniamini don't cry mpenz nakupenda mayyah...........if you love me p naomba uvae twende hospital nikahakikishe........
Saa moja jioni p na Mayyah walikuwa wakisubir majibu ya vipimo vya HIV Mayyah akiwa na mawazo sana
Patrick......daktari aitwaye Mackene hastings mtaalam wa sosholojia na saikolojia aliyejikita katika maswala ya ushaur nasaha aliwaita na kuwaangalia kwa makini akashusha miwani yake huku akiwaangalia......akaguna kidogo na kuita patrick....Patrick alishtuka katika Lindi la mawazo na kuitikia naam doctor mackene...Dr Mackene ndiye anashughulika na familia ya akina Patrick kwa kila kitu Hivyo wakiwa njiani Patrick alimshauri Mayyah waende hosptalin hapo.............huyu ni mwenzako? Dr Mackene aliuliza...aaaaam yes doctor na tumekuja kucheki afya zetu......Daktari aliwaangalia kisha akawapa kikaratasi na kuwatamkia hongereni mko salama Mayyah alishusha pumzi ndefu na kutabasamu wakamshukuru daktari na kuondoka huku daktari Mackene akiwatania kwa kuwaambia mimi nasubiri pilau tu wakacheka na kuondoka.
.................................................wakiwa chumbani Mayyah anamuomba msamaha Patrick kwa kumuhisi vibaya na anaomba Hiyo siku Patrick amfanyie chochote anachotaka katika mwili wake......patric anagoma tena..
Ni jumatatu asubuhi mtihani wa kumaliza muhula wa Pili unafanyika Mayyah na Patrick wako busy mwalimu okelo ni mwalimu aliyeogopeka sana katika somo la research majibu yanatoka Mayyah anapata sup mbili....
................jaribu kuzungumza na Mr okello atakuelewa........ni maongezi ya simu baina ya Irene na Mayyah.....OK best friend nitawasiliana nae..

.............................Mayyah mtoto mzuri kama wewe umepataje sup.......lakini usijali nitakufanyia table assessment tu Mayyah na max utapata na hizo sup hutoziona tena Sawa Mayyah......okay Mr okello....so itabidi uwahi kabla ya tarehe ya kufanya sup haijafika...okay Mr okello na simu inakatwa.........
Patrick nilikuwa anaongea na Mr okello kasema atanisaidia....OK Mayyah nitakupatia laki 3 kama emergency endapo atataka Pesa .....Nashukuru mpenz wangu...ure welcome Mayyah.........
Mayyah alikuwa akiwasiliana na mama yake na kipindi Hicho aliamua kabisa kuhamia kwa patrick.....Sossy twiz rafiki mkubwa wa Mayyah alikuwa akimchukia sana Mayyah.......
Ilikuwa ni tabia ya Patrick kuamka kila Usiku anavaa taulo na akirudi anaoga na kulala bila kumgusa Mayyah.....Hichi kitu kilimuumiza Mayyah akaamua kuweka mtego amfuatilie kama ana mwanamke mwingine au la na kwanini kila Usiku huwa anafanya mazoezi? Aliapia kufahamu yote Haya kuhusu Patrick
Kwakuwa kesho yake ilikuwa safari ya kwenda kwa Mr okello Patrick alimsindikiza Mayyah na yeye kwenda kuangalia biashara za baba yake.......
Mr okello alimwelekeza Mayyah sehemu ya kumkuta na walikutania nyumbani kwake.........karibu Mayyah....huku akitetemeka na kuangalia huku na kule asante mwalimu.....
Mwalimu kama nilivyokuambia nitakupa Pesa yoyte lakin nisaidie kuhusu. Hizi sup mbili...........Mr okelo akacheka na kusimama na kutoa whisky akanywa huku Mayyah akikataaa Mr alichukua orodha ya majina na kuweka x jina la Mayyah na kubadilisha max Mayyah alitabasamu na kutoa laki mbili akampa Mr okelo...........Mr okelo alitabasamu na kumwambia mayyah kazi niliyofanya inahatarisha kazi yangu.....Mr okelo alimvuta Mayyah na kuanza kumpapasa alimchezea sana na Mayyah alishindwa vumilia je bastola ya Mr okelo itamwaga risasi ndani ya kisima cha Mayyah?
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹itaendeleaaaaaaaaa usisahau like page yetu www.facebook.com/uhondo_tz

posted from Bloggeroid