Wednesday 22 October 2014

MAYA WA SHULE SEHEMU YA NANE


""Mayyah wa shule"" sehemu ya 8
Ilipoishia

P anampigia simu Dr Mackene
Ni saa sita Usiku Mayyah anafikishwa hospital huku Dr Mackene akiahidi kumshughulikia Mayyah kadri ya uwezo wake..Patrick anampigia simu Sara rafiki wa Mayyah Kuwa rafiki yake amelazwa..
Patrick anazunguka korido huku na kule akiwa na mawazo kibao kipi kimemkuta mayyah...nitamwambiaje mzazi wake..... nitakiambia nini Chuo....... Sossy alimshika bega rafiki yake na kumwambia asijali......


Mr Bockila ni head of department katika kozi anayochukua Mayyah ni mwanaume mrefu aliyeenda hewani na hapendi masihara katika kazi....amekuwa akipata malalamishi mengi kuhusu walimu wa department yake wanavyopokea rushwa kwa wanafunzi na kuvujisha mitihani.Leo yupo hapa ofisini kwake hasira zimempanda kwa kashfa mbaya alizozisikia....anachukua simu yake ya mkononi na kupiga namba hizi 0653.......1234.....halooo Mr plzz come toy office..
🌰🌰🌰🌰ndani ya dakika 20 Mr okello alikuwa ofisini kwa boss wake.....Mr bockila alimwambia Mr okello Kuwa Kuna tetesi anasikia Kuwa department yake ndiyo inaongoza kwa kuvujisha mitihani na walimu kuuza mitihani kwa wanafunz pia Kuwa na mahusiano nao...ingawaje siwez sana ingilia swala la mahusiano kwakuwa hapa ni Chuo na watu wanajielewa Hivyo wanajua wanachokifanya ingawaje kwa hali ya kawaida inaharibu taaluma nzima ya Kuwa mwalimu bora....je Mr okelo ushasikia tetesi kama hizi kwakuwa ni wewe ndiye naekuamini hapa.....
Mr okelo alitikisa kichwa kwa masikitiko na kudai Kuwa yeye anaifanya kazi yake vizur na anafata maadili yote ya kazi Hivyo hafanyi vitu Hivyo......Mr bockila alimuangalia kwa umakini sana Mr okelo na kumpa jukumu la kutoa taarifa kwa walimu wengine Kuwa kutakuwa na kikao ijumaa Hiyo katika ofisi ya mkuu wa department

Dr mackene anatoka na file na muda huo p na Sossy wanasimama macho yakiwa yamewatoka.......Dr Mackene aliwafikia na kuwaangalia akamuuliza Patrick mmegombana na Mayyah? M Hapana Dr.....Patrick Mayyah amekunywa sumu na sijui lengo la yeye kufanya Hivyo Patrick pia tambua hii ni kesi........tunajaribu
kutoa sumu Patrick nendeni nyumbani kwani haturuhusu watu hapa..nitawasiliana na wewe

Asubuhi Patrick anamtumia Sara pesa kidogo na kumuomba awah hospital yeye atawah Chuo ana presentation..
Sara alifika hosptl na kumkuta shoga ake ana drip na amelala....alirud barabaran na kununua matunda na juice alivyofika alimkuta Dr Mackene anaongea na Mayyah lakini kwa ukali kidogo..Haya ni maisha yako Mayyah unawezaje kujaribu kujiua kama ulipishana na mwenzio ni jambo la kuongea naye ona sasa ungekufa? Au usingenikuta wakakupuuzia...Mayyah alianza kulia na kukumbuka tukio lote alikuwa hana jibu kwa Dr
..........Sara alimfata Mayyah na kumpa taarifa za Patrick Kuwa kwenye presentation walilipia na mchana. Aliruhusiwa.....waliingia cafe na kupata juice.Irene alimbembeleza sana Mayyah amwambie tatizo ni nini. Mayyah aliamua kumweleza kila kitu rafiki yakemayyah kwahiyo ulitaka kujiua kwa ajili ya kukwepa aibu kwa pat...we una akili Kweli yeye kakutesa Mara ngapi Mayyah Leo uje ujiue Kisa mwanaume..Irene aliongea mengi. Na kumfungua akili rafiki yake.walikodi tax na kuelekea home wakiwa wanakaribia kufika Patrick anampigia simu Sara na Sara anamwambia mkewe yupo OK na wapo nje.Patrick nae anafika muda huo na kumletea mpenz wake zawad wanatoka nje kukaa na Sara anamsaidia rafiki yake kupika na kufanya usafi akiwa jikoni Sossy anakuja na kumpa hi anamkonyeza na kuondoka.
😋😋😋😋😋😋
Nisamehe Mayyah wangu najua mimi ndo chanzo cha yote sitorudia kukutesa tena.Mayyah alikuwa analia ingawaje anajua nini kinamliza..alimlaani pat moyoni...

🍐🍌ni Usiku wanapata chakula na kumshukuru Sarah na wanaamua kumsindikiza Usiku huo
Walirud na kulala na ni kipindi hicho Patrick alikuwa yup katika mitihani ya mwisho
Ijumaa Hiyo Mayyah aliamua kwenda Dodoma kumsalimia mama yake alimpelekea madera na zawad kibao....pia alienda katika kabur la baba yake
Jumatatu Mayyah aliondoka

Ilikuwa jumatat asubuh mayyah akiwa stand akisubr basi..alipata shabiby luxury na kufika dar mida ya saa nane mchana.aliamua kumpigia simu patrck na kumtania kuwa ataenda next week patrck alimtania akamwambia no mke wangu wakat mi nakutaman hata leo mayyah alicheka na kukata simu..mida ya saa nane alifika Ubungo akaunga moja kwa moja hadi mliman city na kumtafutia mpenz wake zawadi..alipumzka mjini na jion alienda kwa patrck..aliingia ndan na kwenda garden aliamua kutoa st anne yake kweny bag na kuinywa..mida ya saa mbili alimuona patrck akitoka nje kufunga geti..mayyah alimpgia simu patrck wake na kumwambia good night patrck wangu nakupenda huku akimuangalia kwnye kioo cha dirisha... baada ya kuchangamka mayyah anaamua kuingia ndan kwakuwa ana funguo..hamkuti patrck ndan kwake hvyo anajua moja kwa moja yupo kwa sosy wanchek mvie..anagonga na hawasikii sababu ya music..anaamua kuusukuma mlango Aliganda kama barafu kwa alichokuwa anakiona machoz yalitoka bila kujua,simu Aliyobeba ilianguka ni mpenz wake ampendae kwa dhati ktoka moyon ameshkilia meza huku sosy akifanya nae mapenz kinyume na maumbile..mayah alihsi anaota kumuona mpenz wke akilalamika kama mwanaume..alitaka kuongea akashndwa akataka kuondoka akashndwa akabak kuhs kzunguzungu..akaita p p p attrick..giza likaja akadondoka ITAENDELEA

1 comment: