Wednesday 22 October 2014

MAYA WA SHULE SEHEMU YA SITA


""Mayyah wa shule""
Sehemu ya 6
Ilipoishia
Mayyah anaiangalia simu ya Patrick na kuichukua...........
Huku akiwa anatetemeka akaenda moja kwa moja katika kisanduku cha ujumbe wakati anakifungua aliona SMS nyingi ila zote zikiwa za mtu mmoja ile anafungua Patrick anaingia na kuichukua simu kwa nguvu akiwa na taulo na kijasho chembamba
Huku anahema...Mayyah mpenz mbona unashika simu yangu au huniamini mpenz wangu.......
Mayyah akasimama kwa hasira na kumnasa kibao Patrick.......Patrick kwanza umetoka wapi.....Mayyah unanipiga mimi..na nitaendelea kukupiga ulikuwa wapi? Mayyah hasira zilimpanda.......OK nilikuwa nje nafanya mazoez kwa uani.....OK Patrick sina story nyingi all I need ni wewe kuvaa haraka Nataka niondoke na wewe sasa hivi
......Mayyah kwani Kuna tatizo?
Mayyah alikaa kwenye kochi lililopo hapo chumbani na kuanza kulia Patrick alikuwa kaduwaa haelewi afanye nini....
........why ulinikubali sasa kama ulijua we ni mgonjwa p si bora ningebaki niwe na mwanaume mwingine Yaani siku zote hizo nalazimisha penzi unakataa kumbe una magonjwa yako why lakini.......hata mimi nilishangaa p mimi nilikueleza mimi bado bikra sijawah guswa na mwanaume na nilitegemea wewe ndo uwe mwanaume wangu wa kwanza kumbe ulikuwa unafurahia kiunafki I hate you Patrick Mayyah alisimama na kuondoka alipofika mlangoni p alimdaka Kiuno na kumgeuza na kumwambia"""
Mayyah mpenz mimi sikuelew Haya unayoyaongea maswala ya ukimwi nani kakueleza kwanini huniamini don't cry mpenz nakupenda mayyah...........if you love me p naomba uvae twende hospital nikahakikishe........
Saa moja jioni p na Mayyah walikuwa wakisubir majibu ya vipimo vya HIV Mayyah akiwa na mawazo sana
Patrick......daktari aitwaye Mackene hastings mtaalam wa sosholojia na saikolojia aliyejikita katika maswala ya ushaur nasaha aliwaita na kuwaangalia kwa makini akashusha miwani yake huku akiwaangalia......akaguna kidogo na kuita patrick....Patrick alishtuka katika Lindi la mawazo na kuitikia naam doctor mackene...Dr Mackene ndiye anashughulika na familia ya akina Patrick kwa kila kitu Hivyo wakiwa njiani Patrick alimshauri Mayyah waende hosptalin hapo.............huyu ni mwenzako? Dr Mackene aliuliza...aaaaam yes doctor na tumekuja kucheki afya zetu......Daktari aliwaangalia kisha akawapa kikaratasi na kuwatamkia hongereni mko salama Mayyah alishusha pumzi ndefu na kutabasamu wakamshukuru daktari na kuondoka huku daktari Mackene akiwatania kwa kuwaambia mimi nasubiri pilau tu wakacheka na kuondoka.
.................................................wakiwa chumbani Mayyah anamuomba msamaha Patrick kwa kumuhisi vibaya na anaomba Hiyo siku Patrick amfanyie chochote anachotaka katika mwili wake......patric anagoma tena..
Ni jumatatu asubuhi mtihani wa kumaliza muhula wa Pili unafanyika Mayyah na Patrick wako busy mwalimu okelo ni mwalimu aliyeogopeka sana katika somo la research majibu yanatoka Mayyah anapata sup mbili....
................jaribu kuzungumza na Mr okello atakuelewa........ni maongezi ya simu baina ya Irene na Mayyah.....OK best friend nitawasiliana nae..

.............................Mayyah mtoto mzuri kama wewe umepataje sup.......lakini usijali nitakufanyia table assessment tu Mayyah na max utapata na hizo sup hutoziona tena Sawa Mayyah......okay Mr okello....so itabidi uwahi kabla ya tarehe ya kufanya sup haijafika...okay Mr okello na simu inakatwa.........
Patrick nilikuwa anaongea na Mr okello kasema atanisaidia....OK Mayyah nitakupatia laki 3 kama emergency endapo atataka Pesa .....Nashukuru mpenz wangu...ure welcome Mayyah.........
Mayyah alikuwa akiwasiliana na mama yake na kipindi Hicho aliamua kabisa kuhamia kwa patrick.....Sossy twiz rafiki mkubwa wa Mayyah alikuwa akimchukia sana Mayyah.......
Ilikuwa ni tabia ya Patrick kuamka kila Usiku anavaa taulo na akirudi anaoga na kulala bila kumgusa Mayyah.....Hichi kitu kilimuumiza Mayyah akaamua kuweka mtego amfuatilie kama ana mwanamke mwingine au la na kwanini kila Usiku huwa anafanya mazoezi? Aliapia kufahamu yote Haya kuhusu Patrick
Kwakuwa kesho yake ilikuwa safari ya kwenda kwa Mr okello Patrick alimsindikiza Mayyah na yeye kwenda kuangalia biashara za baba yake.......
Mr okello alimwelekeza Mayyah sehemu ya kumkuta na walikutania nyumbani kwake.........karibu Mayyah....huku akitetemeka na kuangalia huku na kule asante mwalimu.....
Mwalimu kama nilivyokuambia nitakupa Pesa yoyte lakin nisaidie kuhusu. Hizi sup mbili...........Mr okelo akacheka na kusimama na kutoa whisky akanywa huku Mayyah akikataaa Mr alichukua orodha ya majina na kuweka x jina la Mayyah na kubadilisha max Mayyah alitabasamu na kutoa laki mbili akampa Mr okelo...........Mr okelo alitabasamu na kumwambia mayyah kazi niliyofanya inahatarisha kazi yangu.....Mr okelo alimvuta Mayyah na kuanza kumpapasa alimchezea sana na Mayyah alishindwa vumilia je bastola ya Mr okelo itamwaga risasi ndani ya kisima cha Mayyah?
😋😋😋itaendeleaaaaaaaaa usisahau like page yetu www.facebook.com/uhondo_tz

posted from Bloggeroid

No comments:

Post a Comment